Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Adolf Ndunguru pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali pamoja na watendaji kutoka Wizara hizo wakiwa katika eneo la Kinyerezi mkoani Dar es Salaam kutakapojengwa kituo kipya cha kupoza umeme utakaotoka katika Bwawa la Umeme la Julius Nyerere.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Adolf Ndunguru pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali pamoja na watendaji kutoka Wizara hizo wakiwa katika eneo la Chalinze mkoani Pwani kutakapojengwa kituo kipya cha kupoza umeme utakaotoka katika Bwawa la Umeme la Julius Nyerere.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Adolf Ndunguru pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali pamoja na watendaji kutoka Wizara hizo pamoja na TANESCO wakiwa katika mitambo ya umeme ya Kinyerezi II inayozalisha umeme wa megawati 240 mkoani Dar es Saalam.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Adolf Ndunguru pamoja na Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Nishati, Kheri Mahimbali pamoja na watendaji kutoka Wizara hizo pamoja na TANESCO wakiwa katika chumba cha kuendeshea mitambo ya umeme ya Kinyerezi II inayozalisha umeme wa megawati 240 mkoani Dar es Saalam.
*************************
Na Teresia Mhagama, DSM
Viongozi hao kutoka Wizara ya Fedha na Mipango pamoja na Wizara ya Nishati, walitembelea pia mradi wa uzalishaji umeme kwa kutumia gesi asilia wa Kinyerezi II ambao unazalisha umeme wa kiasi cha megawati 240.
0 Comments