Msajili wa Hazina, Mgonya Benedicto (kulia) akipokea
nyaraka kutoka kwa aliyekuwa Msajili wa Hazina, Athumani Mbuttuka wakati
wa makabidhiano rasmi ya ofisi yaliyofanyika jana katika Ofisi ya Msajili wa
Hazina, Dar es Salaam. Benedicto ameteuliwa na Mheshimiwa Rais Samia
Suluhu Hassan kuwa Msajili wa Hazina kuchukua nafasi ya Mbuttuka ambaye
ameteuliwa na Mheshimiwa Rais kuwa Mkaguzi wa Ndani Mkuu wa Serikali.
( _Picha na Ofisi ya Msajili wa Hazina)._
0 Comments