Ticker

6/recent/ticker-posts

HAFLA YA KUMUAGA MKURUGENZI MTENDAJI WA VODACOM TANZANIA PLC ANAYEMALIZA MUDA WAKE YAFANA DAR


Baadhi ya wafanyakazi wa Vodacom Tanzania Plc wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati wa hafla ya kumuaga Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc iliandaa halfa ya kumuaga Hendi mwishoni mwa wiki huku ikamkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Sitholizwe Mdlalose.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela (kushoto) akiteta na Mkurugenzi Mtendaji mpya wa Vodacom Tanzania Plc Sitholizwe Mdlalose (kushoto) wakati wa hafla ya kumuaga Mkurugenzi Mtendaji Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc iliandaa halfa ya kumuaga Hendi mwishoni mwa wiki huku ikimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Sitholizwe Mdlalose. Kati kati ni Hisham Hendi.


Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Standard Chartered Tanzania Sanjay Rughani (kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania Plc anayemaliza muda wake Hisham Hendi (wa pili kushoto) na Mkurugenzi Mtendaji Mpya wa Vodacom Tanzania Plc Sitholizwe Mdlalose (wa pili kulia) wakiwa kwenye picha ya pamoja wakati ya hafla ya kumuaga Hisham Hendi. Kampuni ya Vodacom Tanzania Plc iliandaa halfa ya kumuaga Hendi mwishoni mwa wiki huku Ikimkaribisha Mkurugenzi Mtendaji mpya wa kampuni hiyo Sitholizwe Mdlalose.Post a Comment

0 Comments