Ticker

6/recent/ticker-posts

MASHINDANO YA SHIMIWI 2021 CHINI YA UDHAMINI WA AGRICOM AFRICA LTD YAZIDI KUNOGA MJINI MOROGORO

Furaha Ya Tamisemi baada ya ushindi
Mashindano ya SHIMIWI 2021 chini ya UDHAMINI wa AGRICOM AFRICA LTD yameendelea leo,ambapo kwenye Mpira wa miguu timu ya Katiba na Sheria pamoja na Tamisemi zimefanikiwa kuingia fainali.


Sambamba na mashindano haya Agricom Africa Ltd wameendeleza OFA yao ya zana mbalimbali za kilimo pamoja na vipuri halisi Kwa wateja na watu mbalimbali wanaotembelea viwanjani na kwenye mabanda yao kuulizia zana hizi bora na Vipuri pamoja nakuzishuhudia zile ambazo zipo huko viwanjani.


Tamisemi wakishangilia
Wateja wakiwa katika banda la Agricom Africa Ltd kuhudumiwa kwenye uwanjani wa Jamhuri
Mteja ameikubali Swaraj na yupo tayari kwenda kulipia
Furaha baada ya ushindi
Ushangiliaji
Mashabiki
Baada ya Mechi Tamisemi wakiwa na nyuso za furaha

Post a Comment

0 Comments