Ticker

6/recent/ticker-posts

MWENYEKITI WA CCM RAIS MHE. SAMIA SULUHU AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU MAALUM YA TAIFA YA CCM



Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Kamati Kuu Maalum ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM iliyokutana leo Octoba 03,2021 Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Post a Comment

0 Comments