Ticker

6/recent/ticker-posts

SEMINA YA KUELIMISHA WADAU WA SEKTA YA USAFIRISHAJI JUU YA SHERIA YA AFRIKA MASHARIKI YA UDHIBITI UZITO WA MAGARI YA MWAKA 2016 NA KANUNI ZAKE ZA MWAKA 2018******************


Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Mhe. Anthony Mtaka, leo Oktoba 27, 2021, amefungua semina ya uelimishaji wadau wa sekta ya usafirishaji juu ya sheria ya Afrika Mashariki ya udhibiti uzito wa magari ya mwaka 2016 na kanuni zake za mwaka 2018, inayotolewa na Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS), katika Ukumbi wa Hazina jijini Dodoma.

Post a Comment

0 Comments