Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO AZUNGUMZA KATIKA MKUTANO WA BLOOMBERG

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango leo Novemba 17,2021 Akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Majadiliano ya Kiuchumi (Bloomberg New Economy Forum 2021 ) Makamu wa Rais ameshiriki kama mtoa mada katika mjadala unaohusu Juhudi za Pamoja za Kuijenga Upya Jamii Baada ya Uviko19 kwa Kuepuka Hatari ya Kuongezeka kwa Tabaka baina ya Masikini na Matajiri. Novemba 17,2021

Post a Comment

0 Comments