




Mafunzo yakiendelea
Mafunzo yakiendelea







Mafunzo yakiendelea
Waandishi wa habari mbalimbali wakifuatilia mafunzo kutoka kwa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ambapo Mafunzo hayo yamelenga namna walivyojipanga kupambana na kudhibiti Matumizi ya Madawa ya Kulevya. Mafunzo hayo yamefanyika mkoani Morogoro.
Shuhuda ambaye anadai aliwahi kuwa muathirika wa dawa za kulevya Bw.Ahmed Khatibu akielezea namna alivyopoteza matumaini mara baada ya kutumia dawa za kulevya na kuua ndoto zake.Ametoa ushuhuda huo leo mkoani Morogoro mbele ya waandishi wa habari.



(PICHA ZOTE NA EMMANUEL MBATILO)
0 Comments