Ticker

6/recent/ticker-posts

MAJALIWA AHANI MSIBA NYUMBANI KWA KIKWETE


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuati kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake Mama Salma Kikwete, Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete wakati alipokwenda nyumbani kwa Rais Mstaafu huyo jijini Dar es salaam kutoa pole kwa familia kufuatia kifo cha Mwanakombo Bakari Ngayama, dada yake, Mama Salma Kikwete (kushoto), Desemba 23, 2021. Marehemu anatarajiwa kuzikwa Desemba 24, 2021 Pongwe Tanga. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akimpa pole Mke wa Rais wa Awamu ya Nne, Mama Salma Kikwete (kushoto) ambaye amefiwa na dada yake, Mwanakombo Bakari Ngayama, nyumbani kwa Rais Mstaafu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Post a Comment

0 Comments