Ticker

6/recent/ticker-posts

MHE. RAIS SAMIA SULUHU, AFUNGA MAFUNZO YA KOZI NAMBA 01/2020/2021 YA UOFISA(WARAKIBU WASAIDIZI WA POLISI ASP) KATIKA CHUO CHA TAALUMA YA POLISI KURASINI JIJINI DAR ES SALAAM.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Gwaride maalum la Maofisa wapya waliohitimu mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 yenye lengo la kuimarisha kiwango cha Utendaji kazi katika Jeshi la Polisi nchini katika Mahafali ya kufunga kozi hiyo yaliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021, katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Cheti cha Heshima kwa Mhitimu aliyefanya vizuri katika nidhamu PF 17874 ASP Ally Juma Mwapumba kati ya Maofisa Wanafunzi wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika mahafali yaliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Viongozi mbalimbali pamoja na Wahitimu wapya wa mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika mahafali ya kufunga mafunzo ya kozi hiyo yaliyofanyika leo tarehe 12 Desemba 2021katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Kurasini Jijini Dar es Salaam PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments