Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS ALHAJ DK.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WAUMINI WA KIISLAM KATIKA SALA YA IJUMAA MSIKITI WA MAISARA LEO.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Waumini wa Kiislam baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 14-1-2022.(Picha na Ikulu)

WAUMINI wa Dini ya Kiislam wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 14-1-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Sheikh Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Sheikh Alhadi Mussa Salum na (kulia kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, baada ya kumalizika kwac Ibada ya Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti wa Maisara Wilaya ya Mjini Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments