Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS ALHAJ DKT.HUSSEIN MWINYI AONGOZA MAZIKO YA SHEHA WA KWAHANI


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ya kumuombea Marehemu Machano Mwadini Omar , baada ya kutoa mkono wa pole kwa famalia ya marehemu alipofika kijiji kwao Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kutowa mkono wa pole kwa Familia ya Marehemu Machano Mwadini Omar aliyekuwa Sheha wa Kwahani, alipofika Kijiji kwao Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alh Dk.Hussein Akli Mwinyi akijumuika na Wananchi katika kisoma na dua kumuombea Marehemu Mchano Mawadi Omar aliyekuwa Sheha wa Kwahani, maziko yaliofanyika Kijiji kwao Chaani Masingini Mkoa wa Kaskazini Unguja.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments