Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, amekutana na kuzungumza na aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai (Mb) aliyefika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.
Timu ya Mapadri wa Jimbo Katoliki Singida ikiwa kwenye picha ya pamoja muda mfupi kabl…
Read more
0 Comments