Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS MUSEVENI IKULU CHAMWINO DODOMA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni uliowasilishwa kwake na Mjumbe Maalum ambae pia ni Waziri wa Ulinzi wa Uganda Mhe. Vicent Bamulangaki Sempijji, mara baada ya kuwasili Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 17 Januari, 2022.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni ambae pia ni Waziri wa Ulinzi wa Uganda Mhe. Vicent Bamulangaki Sempijji, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 17 Januari, 2022.

PICHA NA IKULU

Post a Comment

0 Comments