Ticker

6/recent/ticker-posts

SIMBA SC YAFANIKIWA KUPATA SAINI YA CHAMA


***********************

NA EMMANUEL MBATILO, DAR ES SALAAM

KLABU ya Simba imefanikiwa kuinasa saini ya kiungo Mshambuliaji raia wa Zambia Clatous Chama akitokea klabu ya RS Berkane ya Misri ambapo Simba imemtangaza kupitia mitandao yao ya kijamii.

Chama alicheza kwa mafanikio makubwwa katika miaka ya nyuma akiwa Simba Sc hivyo amerudi kwa matumaini ya kuendelea na kiwango alichokionesha kwa miaka hiyo ambao alifanikiwa kuipeleka hatua ya nusu fainali katika michuano ya ligi ya Mabingwa Afrika.

Post a Comment

0 Comments