Ticker

6/recent/ticker-posts

UZINDUZI WA KIKOSI KAZI KITAKACHOJADILI HOJA ZA WADAU WA MKUTANO WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Sera ,Uratibu na Baraza la Wawakilishi Mhe.Dkt.Khalid Salum Mohamed na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi pamoja na Naibu Msajili wa Vyama vya Siasa Zanzibar Bw.Mohamed Ali Ahmed wakati alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa.[Picha na Ikulu] 10/01/22.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (mbele) akifuatana na Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi wakati alipowasili katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa.[Picha na Ikulu] 10/01/22.

Baadhi ya wajumbe wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanywa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar. [Picha na Ikulu] 10/01/22.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) pamoja na Viongozi wengine akiwepo na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.Othman Masoud Othman (wa pili kulia) wakisimama wakati wimbo wa Taifa ukipigwa kabla Uzinduzi wa Kikosi Kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa hafla ilyofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar. [Picha na Ikulu] 10/01/22.

Baadhi ya wajumbe wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakiwa katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi hicho uliofanywa leo na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar. [Picha na Ikulu] 10/01/22.

Mwenyekiti wa Kikosi kazi Prof.Rwekeza S.Mukandara alipokuwa akitoa shukurani zake katika hafla ya uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa uliofanyika leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesamaki Nje ya Jiji la Zanzibar mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi . [Picha na Ikulu] 10/01/22.

Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini Tanznia Mhe.Jaji Francis S. Mutungi alipokuwa akitoa maelezo na kuwatambulisha wajumbe wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakati wa Uzinduzi rasmi uliofanywa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) leo katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar .[Picha na Ikulu] 10/01/22.

Waalikwa wa vyama vya siasa katika Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa wakifuatilia kwa makini wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa hutuba yake katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar .[Picha na Ikulu] 10/01/22.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya Uzinduzi wa Kikosi kazi kitakachopitia Hoja zilizojitokeza katika Mkutano wa wadau wa demokrasia ya vyama vingi vya Siasa katika ukumbi wa Golden Tulip Kiembesaki Nje ya Jiji la Zanzibar.[Picha na Ikulu]10/01/22.

Post a Comment

0 Comments