Ticker

6/recent/ticker-posts

MAKAMU WA RAIS DKT.MPANGO KUHUDHURIA MKUTANO WA AU NCHINI ETHIOPIA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Mpango akiagana na viongozi mbalimbali wakati akiondoka katika uwanja wa ndege wa Dodoma kuelekea Addis Ababa Nchini Ethiopia kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan katika mkutano wa 35 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Umoja wa Afrika (AU) utakaofanyika tarehe 5 na 6 Februari 2022. Februari 4,2022.

Post a Comment

0 Comments