Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA KATIKA SALA YA IJUMAA MASJID MUSHAWAR NA KUMJULIA HALI MZEE ABDALLA MWINYI

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuagana na Viongozi wa Masjid Mushawar na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi,baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid hiyo leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumsalimia na kumjulia hali yake leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh.Saleh Omar Kabi (kulia kwa Rais) baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Masjid Mushawar Miembeshauri Wilaya ya Mjini Unguja leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza Mzee Abdalla Mwinyi Khamis Mkuu wa Mkoa Mstaaf, alipofika nyumbani kwake Mwanakwerekwe Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kumsalimia na kumjulia hali yake leo 25-2-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments