Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU ASHIRIKI MKUTANO WA EU-AU SUMMIT BRUSSELS NCHINI UBELGIJI.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali Duniani wakishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika (EU-AU Summit) leo tarehe 17 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.

Post a Comment

0 Comments