Ticker

6/recent/ticker-posts

SIMBA YALAZIMISHWA SARE 1-1 DHIDI YA USGN




************

NA EMMANUEL MBATILO,

KLABU ya Simba yalazimishwa sare katika mchezo hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika dhidi ya timu ya USGN.

USGN ilianza kupata bao kipindi cha kwanza na kuongoza mpaka dakika ya 86 ya mchezo ambapo Simba Sc kufanikiwa kusawazisha kupitia kwa Benard Morrison.

Benard Morrison alipata bao hilo dakika chache tu tokee benchi akichukua nafasi ya Peter Banda ambaye kwenye mchezo huo hakuwa kwenye ubora wake uliozoeleka.

Post a Comment

0 Comments