Ticker

6/recent/ticker-posts

KAMPUNI YA KONNECT TANZANIA YA JENGA DARAJA LA USAWA WA KIDIGITALI TANZANIA



*****************

Na. Dominic Haule


Konnect Tanzania iliyo sajiliwa kama Konnect Broadband Tanzania limited nikampuni tanzu ya Eutelsat iliyojitolea kutoa huduma za Kasi zaidi za Satelaiti, Kampuni imetangaza kuzindua ofa mpya ya Mtandao wa Satelaiti nchini Tanzania Ina vibalivyote vinavyo hitajika ili kuweza kutoa huduma za Mitandao wa Bei na fuu hapa nchini.


Meneja Mkurugenzi wa Konnect Bwana Philippe Baudrier ameeleza hayo Jijini Dar es salaam, Wakati wa Uzinduzi wa Kampuni hiyo ya Konnect Tanzania.na amesema kuwa huduma ya Mtandao Konnect zimeundwa kukidhi mahitaji ya Makazi na SMBs Wafanyabiashara wadogo Wakati lakin pia zinaweza kusadia katika maendeleo ya Sekta mbalimbali za kiuchumi kama vile kilimo Utalii,Madini Elimu na Afya.


Naye Bwana Peter Kabepela Naibu Mkurugenzi wa Chama Cha wa chimbaji Madini Tanzania amesema kuwa kuunganisha kwa Mtandao wa Satelaiti kwa Migod mbalimbali hapa Tanzania kutaleta tija na kuchangia katika kulindaeneo hilo,


pia itaboresha Hali ya maisha ya Mafundi wanao fanya Shughuli kwenye maeneo ya Uchumbaaji wa madiniyalio mbali na Makazi yao Kupitia Mtandao wa Satelaiti Konnect ninyezo dhabiti katika kusadia ukuaji wa mchango wa Pato la Taifa wa Sekta ya Madini kutoka 3,5% hadi 10% ifikapo 2025.




Kwa upande wake Bwana Godfrey Simbee Mkurugenzi wa Kampuni ya DAR LEGO amewashauli Watanzania kutumia internet kupitia Satelaiti Wakati wakihitaji Upatikanaji wa huduma ya za Internet iliyo kuwa na uwezo mkubwa na Urahisi mzuri wa Mawasiliano na ya Kasi katika maeneo Tofauti hapa nchini


Sembee Amesema kuwa Watanzania wabadilike na kutumia internet zenyewe uwezo mkubwa na spindi kubwa miongoni mwa internet hiyo inatolewa na Kampuni hii ya Konnect.


Wakat I huo huo Amewasihi wafanya Biashara na wawekezaji waweza kutumia internet hiyo Kupitia Satelaiti Kupitia Kampuni ya Konnect inayojihusisha Upatikanaji wa huduma hii Muhimu kwa Wafanyabiashara wenzao ndan ya nchi na nje ya nchi.


Aidha amesema kuwa Kampuni hiyo inayojihusha na Utoaji wa Huduma za Mawasiliano Kupitia Satelaiti ilianzia Ulaya katika nchi ya Ufaransa na kufanya vyema katika Utoaji wa huduma zake na kuona fursa ya kuleta huduma hiyo hapa Tanzania kwa lengo kusadia Jamii juu ya upatikaji wa Mawasiliano hayo hasa katika huduma za Internet .

Post a Comment

0 Comments