RAIS Mstaafu wa Tanzania, Mwenyekiti wa Taasisi ya (GWPSA) Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza katika mkutano Mkuu wa Uwezeshaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Rais Mstaafu wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete ambae pia na Mwenyekiti wa Taasisi ya ( GWPSA ) alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kufungua wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika, uliofanyika leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)
WASHIRI wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta Maji Barani Afrika wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022..(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Ufunguzi wa Mkutano Mkuu wa Uwekezaji wa Sekta ya Maji Barani Afrika wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akiufungua mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa hoteli ya Melia Kiwengwa Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 11-3-2022.(Picha na Ikulu)
0 Comments