Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AJUMUIKA NA WANANCHI WA CHAANI UNGUJA KATIKA SALA YA IJUMAA ILIYOFANYIKA MSIKITI MWEUPE. .

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022.(Picha na Ikulu) WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akitowa nasaha zake kwa Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani leo 15-4-2022.(Picha na Ikulu) WANANCHI wa Kijiji cha Chaani Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia Wananchi baada ya kumalizika kwa Sala ya Ijumaa iliyofanyika katika Msikiti Mweupe Chaani Unguja leo 15-4-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments