Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AFUTURISHA VIONGOZI NA MWAANDAAJI WA FILAMU YA ROYAL TOUR JIJINI NEW YORK

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi mwandaaji wa filamu ya Royal Tour na Baadhi ya Wafanya Biashara wa Nchini Marekani baada ya Futari Jijini New York Marekani.

Post a Comment

0 Comments