Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AKIZUNGUMZA NA MTAYARISHAJI WA FILAMU YA TANZANIA ROYAL TOUR

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza na Mtayarishaji wa Filamu ya Tanzania Royal Tour Peter Greenberg wakati wa uzinduzi wa Filamu hiyo uliofanyika katika ukumbi wa Sinema wa Paramount Jijini Los Angeles nchini Marekani tarehe 21 Aprili, 2022.

Post a Comment

0 Comments