Ticker

6/recent/ticker-posts

Wimbo Mpya : NUHU LUVINGO - TAI

 

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nuhu Luvingo anakualika kusikiliza wimbo wake  mpya alioupa jina la TAI. Wimbo huu umebeba maudhui ya kitabu cha Zaburi 103:5. Ni wimbo wa kila nyakati unazopitia. Karibu sana usikilize kwa utulivu, naamini utabarikiwa kwa Jina la Yesu.

Post a Comment

0 Comments