Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DK.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA SHEREHE ZA JUBILEI YA MIAKA 25 YA UASKOFU WA MHASHAMU AGUSTINO SHAO ZANZIBAR.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Askofu wa Jimbo Katiliki Zanzibar Mhashamu Askofu Agustino Shao, alipowasili katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Sherehe ya Jubilei ya miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Agustino Mweleli Shao Askofu, iliyofanyika katika uwanja huo leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika jukwaa maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Mhashamu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022 na (kulia kwa Rais) Askofu Mhashamu Agustino Shao.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Maaskofu baada ya kuwasili katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar kuhudhuria Jubilei ya Miaka 25 ya Mhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao (kulia kwa Rais) iliyofanyika katika uwanja huo leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu)

WAUMINI wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakimsikiliza mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya Jubilei ya Miaka 25 ya Askofu Mhashamo Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu)

WANAKWAYA wa Kanisa Katoliki Zanzibar wakiimba nyimbo maalumu wakati wa sherehe ya Jubilei ya Miaka 25 ya Uaskofu wa Muhashamu Askofu Agustino Mweleli Shao, iliyofanyika katika Uwanja wa Amaan Unguja Jijini Zanzibar leo 10-5-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments