Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AHUTUBIA MAADHIMISHO YA SIKU YA WAFANYAKAZI DUNIANI LEO VIWANJA VYA MAISARA SULEIMAN UNGUJA.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza katika maadhimisho Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar leo 8-5-2022.(Picha na Ikulu)

WAFANYAKAZI wa Taasisi za Serikali na Masharika ya Umma wakimsikiliza Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yalioadhimisha leo Zanzibar katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)KATIBU Mkuu wa Shirikisho la Wafanyakazi Zanzibar Bw.Khamis Mwinyi Mohammed akiwasilisa Salamu za Wafanyakazi wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Jijini Zanzibar leo 8-5-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Maisara Suleiman kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani iliyofanyika leo 8-5-2022.(Picha na Ikulu)RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mfanyakazi Bora wa Benki ya Watu wa Zanzibar Bw.Kombo Hamad Kombo.(Picha na Ikulu)

WAFANYAKAZI wa Bodaboda wakiwa katika maandamano ya kuadhimisha siku ya Wafanyakazi Duniani viwanja vya Maisara Suleiman wakipita katika jukwaa la mgeni rasmin Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)
MAANDAMANO ya Wafanyakazi kuadhimisha Siku ya Wafanyakazi Duniani yaliofanyika leo katika viwanja vya Maisara Suleiman na kupokelewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) (Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments