Ticker

6/recent/ticker-posts

Video Mpya : BBY NAI - NIMEOLEWA


Msanii Baby Nai anakualika kutazama video ya wimbo wake mpya unaitwa 'Nimeolewa'

Septemba 2022 Mrembo Bby Nai kutoka Buza Temeke alizua gumzo baada ya kutembea mtaani na Bango la 'Natafuta Mume' ambapo alisisitiza kuwa haoni shida ya kutembea na bango hilo kwa sababu havunji sheria za nchi.

Tazama Video ya Bby Nai - Nimeolewa


Post a Comment

0 Comments