Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI ASHIRIKI SWALA MASIJD SUNNA KIKWAJUNI ZANZIBAR.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Sheikh Kassim Haidar Jabbir Alfarsiy leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipotoa nassaha zake leo kwa Waumini wa Dini ya Kiislamu baada ya Swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akiitikia dua iliyoombwa na Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi (wa pili kushoto) leo mara baada ya swala ya Ijumaa liyoswaliwa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.

Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Masjid Sunna Kikwajuni Jijini Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipotoa nassaha zake leo mara baada ya swala ya Ijumaa katika Masjid Sunna Kiwajuni Jijini Zanzibar Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 10/06/2022.

Post a Comment

0 Comments