Ticker

6/recent/ticker-posts

DUA MAALUM KITAIFA NA CHAKULA KWA WATOTO MAYATIMA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (katikati) mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Mao Dze Dong Jijini Zanzibar leo katika dhifa ya chakula cha mchana kwa watoto mayatima iliyoandaliwa na Taasisi ya "NURU FOUNDATION ZANZIBAR".(kushoto) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[ Picha na Ikulu] 11julai 2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake wakati Dua maalum ya kitaifa sambamba na dhifa ya chakula cha mchana kwa watoto mayatima hafla iliyofanyika leo viwanja vya Mao Dze Dong Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11julai 2022.

Watoto mayatima wakiwa katika hafla ya dua na dhifa ya chakula cha mchana kitaifa iliyoandaliwa na Taasisi ya "NURU FOUNDATION ZANZIBAR" upendo ni Nuru katika viwanja vya Mao Dze Dong Jijini mgeni rasmi alikuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo.[Picha na Ikulu] 11julai 2022.
Baadhi ya Mawaziri wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar na Viongozi wengine wakiwa katika hafla ya dhifa ya chakula cha mchana kwa watoto mayatima iliyoandaliwa na Taasisi ya "NURU FOUNDATION ZANZIBAR" katika viwanja vya Mao Dze Dong Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 11julai 2022.

Post a Comment

0 Comments