Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AFUNGUA MKUTANO WA MAADHIMISHO YA SIKU YA MAPAMBANO DHIDI YA RUSHWA AFRIKA.


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu) VIONGOZI mbalimbali waakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Mawaziri na Viongozi wa Dini waakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi(hayupo pichani) akihutubia na kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika, uliofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi”B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuagana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa baada ya kumaliza kuufungua mkutano wa Maadhimisho ya Siku ya Mapambano Dhidi ya Rushwa Afrika , unaofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahri Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 12-7-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments