Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA OMAN NCHINI TANZANIA IKULU ZANZIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi na Ujumbe wake, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 6-7-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani.(kulia kwa Rais) alipofika Ikulu kwa mazungumzo na kujitambulisha akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 6-7-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 6-7-2022.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Balozi wa Oman Nchini Tanzania Mhe.Saud Hilal Al Shidhani.(kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, alipofika kujitambulia akiwa na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyika kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments