Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AHUTUBIA KONGAMANO LA KUUKARIBISHA MWAKA MPYA WA KIISLAM 1444.A.H MASJID JAMIU ZINJIBAR


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uislamu na Sensa na Mipango wa Maendeleo ikiwasilishwa na Sheikh.Khamis Abdulhamid.(hayupo pichani) wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam -1444 A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Sumeiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Mada ya Uislamu na Sensa na Mipango wa Maendeleo ikiwasilishwa na Sheikh.Khamis Abdulhamid.(hayupo pichani) wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam -1444 A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar.Mhe.Haroun Ali Sumeiman, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Alhaj Othman Masoud Othman na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhaj Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wad na Kadhi Mkuu wa Zanzibare Sheikh Hassan Othman Ngwali

SHEIKH. Khamis Abdulhamid akiwasilisha Mada kuhusiana na Sensa na Mipango ya Maendeleo wakati wa Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444. A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo 31-7-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Waumini wa Dini ya Kiislam na Wananchi katika Kongamano la Kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444 A.H, lilifonayika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Unguja leo 31-7-2022.(Picha na Ikulu)

WAUMINI wa Dini ya Kiislam Zanzibar wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj.Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia katika Kongamano la kuukaribisha Mwaka Mpya wa Kiislam 1444.A.H, lililofanyika katika Masjid Jamiu Zinjibar Mazizini Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 31-7-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments