Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MTENDAJI WA UENDESHAJI WA BENKI YA DUNIA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo tarehe 07 Jullai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg, Dakar nchini Senegal kabla ya kuanza mazungumzo tarehe 07 Julai, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa uendeshaji wa Benki ya Dunia (IDA) Axel van Trotsenburg mara baada ya mazungumzo yao Dakar nchini Senegal tarehe 07 Julai, 2022.

Post a Comment

0 Comments