Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AWASILI KISIWANI PEMBA KWA ZIARA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi na Wananchi alipowasili Uwanja wa Ndege wa Pemba 15 Julai 2022 kwa Ziara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiangalia Vikundi mbalimbali vya ngoma za Utamaduni alipowasili Uwanja wa Ndege wa Pemba 15 Julai 2022 kwa Ziara.

Post a Comment

0 Comments