


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mlango wa Zanzibar mgeni wake Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Fedha na Utawala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-7-2022.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Fedha na Utawala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 24-7-2022.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapunduzi Mhe.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi ya picha inoyoonesha Mji wa historia wa Oman, na Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje wa Oman Anayeshughulikia Fedha na Utawala Mhe. Mohammed Nasser Al Wahaibi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar leo 24-7-2022.(Picha na Ikulu)
0 Comments