Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AELEKEA DR CONGO KUHUDHULIA MKUTANO WA SADC


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiagana na Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango, Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa pamoja na viongozi mbalimbali katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (Terminal 1) Dar es salaam wakati akielekea Jamhuri ya Kidemokraisa ya Kongo kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Tarehe 16 Agosti 2022.

Post a Comment

0 Comments