Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA SULUHU AMALIZA ZIARA YAKE MKOANI NJOMBE NA KUINGIA MKOANI IRINGA.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Kijiji cha Mtwango Mkoani Njombe tarehe 11 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makambako wakati akihitimisha ziara yake ya kikazi tarehe 11 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara Sawala-Mkonge-Iyegea km 40.7 Mkoani Iringa kwa kiwango cha Lami tarehe 11 Agosti, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Makambako baada ya kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Barabara ya Sawala-Mkonge-Iyegea km 40.7 Mkoani Iringa kwa kiwango cha Lami tarehe 11 Agosti, 2022.

Post a Comment

0 Comments