Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.MWINYI AMEMUAPISHA MKURUGENZI MKUU MPYA WA ZAECA,

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimuapisha Bw,Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA ,aliyemteuwa hivi karibuni hafla hiyo imefanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipokuwa akimkabidhi Vitabu Nd.Ali Abdalla Ali, ikiwa ni muongozo katika utekelezaji wa kazi zake mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA,katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akimkabidhi Hati ya kiapo Nd. Ali Abdalla Ali mara baada ya kumuapisha kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA,hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisisitiza jambo leo alipokuwa akizungumza na Viongozi mbali mbali (hawapo pichani) waliohudhuria katika hafla ya kumuapisha Nd. Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa ZAECA,hafla iliyofanyika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 08/09/2022.

Post a Comment

0 Comments