Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS DKT.HUSSEIN MWINYI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA DKT.CHARLOTTE HAWKINS IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Dkt.Charlotte Hawkins, Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika leo 29-9-2022, katika ukumbi wa Ikulu.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Dkt.Charlotte Hawkins,Daktari bingwa wa Upasuaji kutoka nchini Uingereza, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo 29-9-2022.(Picha na Ikulu)

Post a Comment

0 Comments