Ticker

6/recent/ticker-posts

UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA MAMLAKA YA KUZUIA YA KUPAMBANA NA RUSHWA ZAECA


*******************

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Ndugu Ali Abdalla Ali kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar katika Ofisi ya Rais Katiba Sheria,Utumishi na Utawala Bora.

Kabla ya Uteuzi Ndugu Ali Abdalla Ali alikua Afisa Mwandamizi Ofisi ya Rais.

Uteuzi huo Umeanza leo tarehe 05 Septemba 2022


Imetayarishwa na Idaya ya Mawasiliano

Ikulu Zanzibar.

Post a Comment

0 Comments