Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA CHINA NCHINI TANZANIA MHE.CHENI MINGJIAN IKULU DAR ES SALAAM


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea zawadi ya kitabu kutoka Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuelekeza jambo Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.

Post a Comment

0 Comments