Ticker

6/recent/ticker-posts

Breaking : NDEGE YA PRECISION AIR YAPATA AJALI ZIWANI

 


Habari zilizotufikia hivi punde ni Ndege ya Kampuni la Ndege la Precision Air imeanguka katika Ziwa Victoria baada ya kushindwa kutua kwenye Uwanja wa Ndege wa Bukoba wakati ikijaribu kutua kwenye uwanja huo asubuhi hii leo Jumapili.

Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kagera William Mwampaghale amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo na wanaendelea na juhudi za uokozi.


Post a Comment

0 Comments