Ticker

6/recent/ticker-posts

UZINDUZI WA KAMPENI YA UPANDAJI MITI .

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Viongozi wakati alipowasili katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae kwa ajili ya Uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani hiyo leo.[Picha na Ikulu.] 18/11/2022. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) akijipongeza na Viongozi mbali mbali leo.baada ya kupanda mche wa Mnazi ikiwa ni Uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae (katikati) Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Simai Mohamed Said [Picha na Ikulu.] 18/11/2022. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi alipokuwa akitoa hutuba yake katika Uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo, ambapo viongozi mbali mbali wamehudhuria akiwepo Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman. [Picha na Ikulu.] 18/11/2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akifuatana na Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Simai Mohamed Said (kushoto) na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman wakati alipowasili katika Bustani ya Botanic Migombani kwa ajili ya Uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani hiyo leo.[Picha na Ikulu.] 18/11/2022. Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman,alipokuwa akitoa neno la shukurani kwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae leo uliofanywa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (hayupo pichani). [Picha na Ikulu.] 18/11/2022. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) alipokuwa akitoa maelezo wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo,baada ya kufanya Uzinduzi rasmi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti (katikati) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said na Naibu Waziri wa Maji,Nishati na Madini pia Mwakilishi wa Jimbo la Mpendae Mhe.Shaaban Ali Othman.(wa tatu kulia) [Picha na Ikulu.] 18/11/2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (katikati) akipanda mche wa Mnazi ikiwa ni Uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae hafla iliyofanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali wamehudhuria akiwepo na Waziri wa Utalii na Mambo ya kale Mhe.Simai Mohamed Said. [Picha na Ikulu.] 18/11/2022. Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) akipokea risala kutoka kwa katibu wa (MIGOMBANI BOTANIC GARDEN) Ndg. Kombo Juma, katika hafla ya Uzinduzi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae iliyofanyika leo ambapo Viongozi mbali mbali wamehudhuria akiwepo na Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said.(katikati). [Picha na Ikulu.] 18/11/2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (wa pili kushoto) alipokuwa akipata maelezo kutoka kwa Msimamizi wa Nursery Ndg,Lailat Ali Hamad alipofika kuuangalia Mti wa Aloe Pembana (Mshubiri Mwitu) wakati alipotembelea sehemu mbali mbali katika Bustani ya Botanic Migombani Jimbo la Mpendae leo baada ya kuzinduza rasmi wa kampeni za uendelezaji wa Shuhuli za Upandaji wa Miti katikati bustani hiyo (katikati) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Simai Mohamed Said pamoja na viongozi wengine wakishuhudia.[Picha na Ikulu.] 18/11/2022.

Post a Comment

0 Comments