Ticker

6/recent/ticker-posts

KAMA UNGEPENDELEA KUMPATIA UMPENDAYE ZAWADI YA SIMU SOMA HII

Post picha yake na ujumbe mzuri.

Kwa mara ya kwanza katika historia tumeshuhudia msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka ukiwa pamoja na burudani kubwa ya mchezo wa mpira wa miguu duniani (Fainali za Komba la Dunia) ambazo zinaendelea huko Qatar.

Fainali hizo ambazo zili­anza kutimua vumbi Novem­ba 20 mwaka huu zinatara­jiwa kukamilika Disemba 18 mwaka huu hivyo kufanya burudani hiyo kukutana na msimu wa sikukuu ya Chrismas na Mwaka Mpya. Mambo mengi yakufurahisha wateja yanaendelea kufanywa na Makampuni mengi ambapo katika upande wa simu Kampuni ya TECNO inaendelea kuupiga mwingi na kampeni ya ‘Sambaza furaha’.

Tukiwa tumebakiwa na siku chache kuhitimisha mchuano huu wa kombe la dunia TECNO inakuhabarisha campaign ya ‘Sambaza furaha’ bado inaendelea. Post picha ya umpendae ikiambatana na ujumbe mzuri #Sambazafuraha @tecnomobiletanzania au unaweza jizawadia wewe mwenyewe kwa kupost picha yako ikiambatana na ujumbe mzuri kisha tag na kuhashtag kama inavyojieleza hapo juu.

Zawadi zinatolewa kila siku kwa mshiriki ambaye ujumbe wake umeonekana kuvutia wengi na kupata likes na comments nyingi, kila siku hadi Kuelekea Kombe la Dunia simu aina ya TECNO Camon 19 na Spark 9 zitaendela kutolewa kwa washiriki wanaokidhi vigezo.

Tembelea @tecnomobiletanzania au piga nambari 0744545254, 0678035208

Kwa maelezo zaidi.

Post a Comment

0 Comments