Ticker

6/recent/ticker-posts

MBAPPE MFUNGAJI BORA KOMBE LA DUNIA 2022MCHEZAJI wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Ufaransa Kylian Mbappe amefanikiwa kunyakua kiatu cha dhahabu kwenye michauno ya kombe la Dunia kwa kufanikiwa kuibuka mfungaji bora wa michuano hiyo kwa kufunga mabao nane.

Post a Comment

0 Comments