Ticker

6/recent/ticker-posts

RAIS MWINYI AZINDUA RASMI STUDIO ZA WASAFI-FM ZANZIBAR 88.9


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar (kulia) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam . [Picha na Ikulu] 13/12/2022.

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Kilimani Jijini Zanzibar leo mgeni rasmi alikuwa RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi . [Picha na Ikulu] 13/12/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 leo katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,(wa pili kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond), Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Mhe,Idrisa Kitwana Mustafa(kushoto), Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi (wapili kulia)na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Mhe,Tabia Maulid Mwita.[Picha na Ikulu] 13/12/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) akiwa katika Ofisi za Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 katika uzinduzi rasmi wa Studio hizo uliofanyika leo Kilimani Jijini Zanzibar wakiwemo na watangazji na waandishi wa habari. [Picha na Ikulu] 13/12/2022.

Mkurugenzi Mkuu wa Wasafi Media Ndg,Abdul Nasib (Diamond) alipokuwa akizungumza na machache wakati wa uzinduzi rasmi Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 leo katika Ofisi za Wasafi Media Kilimani Jijini Zanzibar,uliofanywa na RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani). [Picha na Ikulu] 13/12/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Viongozi na Wananchi wakati wa uzinduzi rasmi wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 zilizopo Kilimani Jijini Zanzibar hafla iliyofanyika leo . [Picha na Ikulu] 13/12/2022. Baadhi ya Viongozi mbali mbali na waalikwa wakimsikiliza RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza nao wakati wa uzinduzi rasmi wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 hafla iliyofanyika leo Kilimani Jijini Zanzibar . [Picha na Ikulu] 13/12/2022.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) alipokuwa akimkabidhi cheti cha Usajili wa Studio za WASAFI FM Zanzibar 88.9 Mkurugenzi Mkuu Ndg,Abdul Nasib (Diamond) wakati wa hafla ya uzinduzi rasmi wa Studio hizo zilizozinduliwa leo Kilimani Jijini Zanzibar . [Picha na Ikulu] 13/12/2022.

Post a Comment

0 Comments