Ticker

6/recent/ticker-posts

KATIBU MKUU CHONGOLO AANZA ZIARA WILAYA YA KILOSA


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Daniel Chongolo ametembelea Shamba la Miwa la Mkulazi na Kiwanda cha Sukari Mbigiri ikiwa ni sehemu ya ziara yake wilayani Kilosa, Mkoa wa Morogoro. Katika ziara hiyo Katibu Mkuu Chongolo ameongozana na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Mjema, Katibu wa NEC Oganaizesheni Ndugu Issa Ussi (Gavu), pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serikali kutoka mkoani humo na Wilaya ya Kilosa.

Post a Comment

0 Comments