Ticker

6/recent/ticker-posts

KINANA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CUBA NA INDONESIA OFISI NDOGO YA CCM LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiwa katika picha ya Pamoja na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 16, 2023.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akizungumza na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 16, 2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akifurahi na kushikana mikono na Balozi wa Cuba, Yordenis Despaigne Vera, mara baada ya kumaliza mazungumzo yao alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 16, 2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akisalimiana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mheshimiwa Triyogo Jatmiko alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 16, 2023.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akimsikiliza Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mheshimiwa Triyogo Jatmiko wakati wa Mazungumzo yao alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 16, 2023.




Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana akiagana na Balozi wa Indonesia nchini Tanzania, Mheshimiwa Triyogo Jatmiko alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, leo Januari 16, 2023.

Post a Comment

0 Comments